Vyumba vitatu vikubwa vya kulala kimojawapo ni Master Dinning Sebule kubwa Jiko lenye Makabati
Choo Bafu ndani vya public
Gypsum Tiles Slides #Windows
Umeme upo wa Luku yake
Maji yapo ya bomba 24hrs
Cars Parking Space ipo
Nje Pavingblocks
FencedAppart
KODI TSHS LAKI 600,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
PAMOJA NA MALIPO YA KODI YA MWEZI 1 WA Dalalimwanamke
Learn about new items, custom picked just for you.
Notification for member sales, events and promotions.