Kusafiri ni moja kati vitu bora vya kufanya maishani. Iwapo kusafiri inatupa furaha pamoja na kutusaidia kuwa wafanyakazi bora zaidi,...

Kama kote duniani, wanawake wengi Tanzania wanatumia vipodozi kama nyongeza ya urembo wao ya kiasili.

 

Ila, kuna makosa maalum...

Badala ya kwenda kuangalia sinema, ambapo hutaweza kuongea vizuri na mgeni wako au kwenyen mgahawa iliyojaa na watu, chagua sehemu itakayo...

 

Mwenendo hukuja na kuondoka ila mtindo (staili) ni daima.

 

Kwa hiyo, ukiwa na nguo zifuatayo kabatini kwako hutakosa cha...

Njia maarufu ya kujipumzisha Tanzania ni kwenda kwenye baa yako upendayo kukutana na maraafiki na kujipatia kinywaji baridiiiiiiiiiiiiiiii.

...

Wanaume wanajali mavazi yao pia, sio wanawake tu.

 

Ila, mwanaume anabidi aelewe kwamba badala ya kufuata mitindo, kupendeza kwenye...

Sana sana, wanawake wananunua viatu kulingana na mitindo,  kwa kuwa wanazipenda tu au kwa ajili ya mavazi maalum. Ila, wengi hawanunui viatu...

Unaweza ukawa mwangalifu sana ila, bahati mbaya inatokea na simu zetu zinaingia maji.

 

Sasa, kwa kuwa simu zisizoingia maji bado ni...

Iwapo unahamia Dar au unarudi Dar kutoka mji mweingine, kuna vitu vya kujua kuhusu mji huu kukusaidia uhamiaji.

 

1. Kodi ni...

Ni ngumu sana kujua mahitaji yako wakati kuna vifaa vingi vya umeme siku hizi. Vilevile, kama unawatoto wanaotaka gemu mpya au iPad, inaweza ikawa...

Vyakula vingi vya Tanzania vina wanga nyingi na nyama. Mboga za majani huwa zinawekwa pembeni.

 

Hii inaleta changamoto kwa wale...

Watu wengi wenye mafanikio huwa wanafanya mazoezi. Unajua kwa nini?

 

Kwa vile, uzima wa akili na uzima wa mwili zinaendana.

...